Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJA MKAAZI WA BENKI YA MAENDELEO...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJA MKAAZI WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB) TANZANIA DKT.PATRICIA LAVERLEY IKULU CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt. Patricia Laverley mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt. Patricia Laverley mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here