Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJA MKAAZI WA BENKI YA MAENDELEO...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJA MKAAZI WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB) TANZANIA DKT.PATRICIA LAVERLEY IKULU CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt. Patricia Laverley mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt. Patricia Laverley mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.

Previous articleRC GEITA ACHARUKA UJENZI WA VETA ATOA SIKU 30 KUKAMILIKA.
Next articleTAASISI YA WANAWAKE 100 ,000 YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UJASIRI WA KIPEKEE KUONGEZA MISHAHARA, KUDHIBITI BEI YA MAFUTA NA THE ROYAL TOUR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here