Home LOCAL MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI DAR

MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI DAR

Afisa Ununuzi na Ugavi wa Mamlaka ya Elimu (TEA) ambaye pia ni Katibu wa Chama cha Wafanyakazi (THTU) TEA Bi. Secilia Mushi (wa tatu kulia mstari wa mbele) akiwa na Maafisa wengine na watumishi wa Taasisi wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa dar es Salaam Amos Makalla (hayumo pichani) wakati wa maahimisho ya siku ya wafanyakazi Mei Mosi iliyofanyika jana Mei 1,2022 katika Uwanja wa Uhuru Jijini dar es salaam.

Muonekano wa Watumishi wa TEA wakiwa wamejumuika na watumishi wa Taasisi nyingine katika maadhimisho hayo.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here