Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UN JIJINI NEW YORK USA

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UN JIJINI NEW YORK USA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa baada ya mazungumzo yao Jijini New York Nchini Marekani leo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Joyce Msuya Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Kibina Adamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu Masuala ya kibinaadamu, Jijini New York Nchini Marekani leo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here