Home LOCAL RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SC JOHNSON FAMILY KILICHOPO CHICAGO MAREKANI

RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SC JOHNSON FAMILY KILICHOPO CHICAGO MAREKANI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu namna ya kudhibiti Wadudu dhurifu waenezao Magonjwa mbalimbali, alipotembelea moja ya Kiwanda cha SC Johnson Family kiliopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiangalia baadhi ya Wadudu wa aina mbalimbali waliodhibitiwa, alipotembelea moja ya Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu dhurifu waenezao Magonjwa mbalimbali kiliopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu dhurifu waenezao Magonjwa mbalimbali kiliopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Dkt. H. Fisk Johnson Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family na Ujumbe wake, kabla ya kutembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu dhurifu waenezao Magonjwa mbalimbali kiliopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani leo tarehe 19 Aprili 2022.

.

Previous articleSERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAKAZI BORA KWA WAHUDUMU WA AFYA
Next articleKAMPUNI YA SC JOHNSON YA MAREKANI KUSAIDIA TANZANIA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here