Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS AMBAYE PIA NI AFISA MTENDAJI...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS AMBAYE PIA NI AFISA MTENDAJI MKUU WA WOODROW WILSON


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center Balozi Mark Green mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center Balozi Mark Green katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center Balozi Mark Green katika Mdahalo uliofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mdahalo katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center Balozi Mark Green katika Mkutano uliofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.

Previous articleMTWARA FASHION SHOW KUSHUSHA NEEMA KWA MAKAUNDI YENYE UHITAJI
Next articleRAIS SAMIA SULUHU AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI USAFBC-WASHINGTON NCHINI MAREKANI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here