Home INTERNATIONAL RAIS SAMIA SULUHU AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI USAFBC-WASHINGTON NCHINI...

RAIS SAMIA SULUHU AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI USAFBC-WASHINGTON NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Chemba ya Biashara ya Marekani Suzanne Clark mara baada ya mazungumzo yao katika Ofisi za Chemba hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Chemba ya Biashara ya Marekani Suzanne Clark wakati akiwasili katika Ofisi za Chemba hiyo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Wafanyabiashara wa Marekani uliofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi za Chemba ya Biashara ya Marekani Jijini Washington nchini Marekani tarehe 22 Aprili, 2022. PICHA NA IKULU
Previous articleRAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS AMBAYE PIA NI AFISA MTENDAJI MKUU WA WOODROW WILSON
Next articleMAKAMU WA RAIS UCHAGUZI WA CCM KIGOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here