Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN,AWASILI JIJINI WASHINGTON MAREKANI

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN,AWASILI JIJINI WASHINGTON MAREKANI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi  wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC  waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi leo tarehe 13 April 2022.