Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN,AWASILI JIJINI WASHINGTON MAREKANI

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN,AWASILI JIJINI WASHINGTON MAREKANI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi  wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC  waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi leo tarehe 13 April 2022.

Previous articleMSANII MAUNDA ZORRO AFARIKI DUNIA KWA AJALI
Next articleBENKI YA CRDB YAFUTURISHA WATEJA NA WADAU SHINYANGA, RC MJEMA APONGEZA HUDUMA YA AL – BARAKAH BANKING
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here