Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI JIJINI NEW YORK MAREKANI

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI JIJINI NEW YORK MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipokea Shada la Maua kutoka kwa Watoto Amani Lujwangana, Abella Lujwangana na Sophia Quito mara baada ya kuwasili  Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya kikazi leo tarehe 16 Aprili 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here