Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI JIJINI NEW YORK MAREKANI

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI JIJINI NEW YORK MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipokea Shada la Maua kutoka kwa Watoto Amani Lujwangana, Abella Lujwangana na Sophia Quito mara baada ya kuwasili  Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya kikazi leo tarehe 16 Aprili 2022.

Previous articleKATIBU MWENEZI CCM NDG.SHAKA AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAZISHI YA MSANII MAUNDA ZORRO
Next articleWANAWAKE NCHINI HAWAJANUFAIKA NA RASILIMALI ZINAZOPATIKANA KWENYE MISITU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here