Home Uncategorized MAJALIWA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA 13 KUHUSU UTAMADUNI NA MICHEZO

MAJALIWA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA 13 KUHUSU UTAMADUNI NA MICHEZO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kikao Kazi cha 13 cha Maafisa Utamaduni na Michezo Tanzania Bara kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar jijini Dodoma, Aprili 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).