Home LOCAL SPIKA DKT. TULIA AFUNGUA MAFUNZO WAKATI WA KUWASILISHWA KWA TAARIFA JUU YA...

SPIKA DKT. TULIA AFUNGUA MAFUNZO WAKATI WA KUWASILISHWA KWA TAARIFA JUU YA KUCHAFUKA KWA MTO MARA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifungua Mafunzo wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa juu ya kuchafuka kwa Mto Mara na Hatua zilizochukuliwa leo Aprili 5, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bunge Jijini Dodoma. Taarifa hiyo imewasilishwa na Kamati Maalum iliyoundwa na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Seleman Jaffo. Kushoto ni Waziri Seleman Jaffo na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifungua Mafunzo wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa juu ya kuchafuka kwa Mto Mara na Hatua zilizochukuliwa leo Aprili 5, 2022 mbele ya Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Seleman Jaffo na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakishiriki Mafunzo wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa juu ya kuchafuka kwa Mto Mara na Hatua zilizochukuliwa leo Aprili 5, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bunge Jijini Dodoma. Taarifa hiyo imewasilishwa na Kamati Maalum iliyoundwa na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Seleman Jaffo.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleWIZARA YA AFYA YAPOKEA VIFAA VYA TEHAMA VYENYE THAMANI YA MILIONI 200
Next articleMAJALIWA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA 13 KUHUSU UTAMADUNI NA MICHEZO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here