Home BUSINESS DKT.KIJAJI, MWIGULU WAZUNGUMZIA HALI YA KUPANDA KWA BEI ZA BIDHAA

DKT.KIJAJI, MWIGULU WAZUNGUMZIA HALI YA KUPANDA KWA BEI ZA BIDHAA

Waziri wa uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali kutoka sekta binafsi wakiwemo wafanyabiashara na wawekezaji hapa nchini juu ya kupanda kwa bei ya bidhaa. mkutano huo umefanyika leo april 11,2022 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Fedha Dkt. Mweigulu Nchemba (Mb) akizungumzia kwenye mkutano huo alipoambatana na waziri kijaji kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiuchumi hapa nchini




Wadau , wafanyabiashara na waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo uliofanyika leo katika Ofisi ndogo ya hazina Jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here