Home BUSINESS DC KISWAGA AFANYA ZIARA BARRICK BULYANHULU NA KUSHIRIKI UHAMASISHAJI WA CHANJO YA...

DC KISWAGA AFANYA ZIARA BARRICK BULYANHULU NA KUSHIRIKI UHAMASISHAJI WA CHANJO YA UVIKO -19

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Festo Kiswaga (wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza Meneja wa mgodi wa Bulyanhulu ,Cheick Sangare (Kushoto) wakati alipotembelea mgodi na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.Wengine pichani ni Maofisa Waandamizi wa kampuni hiyo. Ameipongeza zitihada zinazofanywa na kampuni katika kuunga mkono jitihada za Serikali katika kufanikisha zoezi hilo.
 

Wafanyakazi wa Mgodi wa Barrick wa Bulyanhulu wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.
 

Mmoja wa wafanyakazi wa Barrick Bulyanhulu akiuliza swali wakati wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki kuhamasisha zoezi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.
 

Mmoja wa wafanyakazi wa Barrick Bulyanhulu akiuliza swali wakati wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki kuhamasisha zoezi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.
 

Maofisa wa Barrick na Serikali wakibadilishana mawazo wakati wa ziara hiyo.
 

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Festo Kiswaga, amefanya ziara ya kikazi katika Mgodi wa Barrick Bulyanhulu na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO 19 kwa wafanyakazi.
DC
Ameipongeza Barrick kwa jitihada inazofanya kuunga mkono jitihada za Serikali kuhamasisha na kufanikisha zoezi linaloendelea la chanjo ya UVIKO-19.
Previous articleDKT.KIJAJI, MWIGULU WAZUNGUMZIA HALI YA KUPANDA KWA BEI ZA BIDHAA
Next articleWATU 7 WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA WIZI MJI MDOGO WA KATORO GEITA.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here