Home SPORTS TWAHA KIDUKU AMCHAPA ALEX KABANGU

TWAHA KIDUKU AMCHAPA ALEX KABANGU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!


picha na Azam TV 

Bondia TWAHA KIDUKU amefanikiwa kubeba ubingwa wa UBO All-Africa Super Middleweight, baada ya kumchapa bondia mkongoman ALEX KABANGU.

KIDUKU, ameshinda kwa pointi za majaji wote watatu (Unanimous Decision) ambapo ‘Score Cards’ za majaji zilikuwa (80-72), (79-73) na (80-72)

KIDUKU, ameendeleza rekodi ya kutopoteza dhidi ya mabondia kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, baada ya kuwachapa Mbiya Kanku, Sherif Kasongo, Tshibangu Kayembe na leo Alex Kabangu