Home SPORTS TWAHA KIDUKU AMCHAPA ALEX KABANGU

TWAHA KIDUKU AMCHAPA ALEX KABANGU


picha na Azam TV 

Bondia TWAHA KIDUKU amefanikiwa kubeba ubingwa wa UBO All-Africa Super Middleweight, baada ya kumchapa bondia mkongoman ALEX KABANGU.

KIDUKU, ameshinda kwa pointi za majaji wote watatu (Unanimous Decision) ambapo ‘Score Cards’ za majaji zilikuwa (80-72), (79-73) na (80-72)

KIDUKU, ameendeleza rekodi ya kutopoteza dhidi ya mabondia kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, baada ya kuwachapa Mbiya Kanku, Sherif Kasongo, Tshibangu Kayembe na leo Alex Kabangu
Previous articleYALIYOJIRI MAGAZETINI JUMAPILI YA LEO MACHI 27-2022
Next articleMAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA USIMAMIZI WA FEDHA YANAYOTOLEWA NA DCB FOUNDATION KUENDELEA KUWANUFAISHA WATANZANIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here