Home LOCAL MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM,RAIS WA TANZANIA MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA...

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM,RAIS WA TANZANIA MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU PAMOJA NA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA JIJINI DODOMA

 


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma

Wajumbe mbalimbali wa Kikao cha Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano kwa ajili ya kushiriki vikao hivyo leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma

     Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka kuhusu matayarisho ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika kesho alipotembelea ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

Previous articleNDUGU ABDULRAHMAN KINANA ATEULIWA KUGOMBEA UMAKAMU MWENYEKITI CCM, MEMBE AREJESHEWA UANACHAMA
Next articleIGP SIRRO AWAGIZA MAKAMANDA KUFANYA OPERESHENI MWEZI MMOJA BARABARANI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here