Home SPORTS KOCHA STARS ATANGAZA KIKOSI CHA WACHEZAJI 28 KUJIANDAA NA MCHEZO WA KIRAFIKI

KOCHA STARS ATANGAZA KIKOSI CHA WACHEZAJI 28 KUJIANDAA NA MCHEZO WA KIRAFIKI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 28 kwa ajili ya mechi za kirafiki kwenye kalenda ya FIFA, ndani yake akijumuisha chipukizi kadhaa.