Home SPORTS HAKUNA MCHEZAJI WA YANGA ATAKAYEZIBIWA RIZIKI AKITAKA KUONDOKA: HERSI SAID

HAKUNA MCHEZAJI WA YANGA ATAKAYEZIBIWA RIZIKI AKITAKA KUONDOKA: HERSI SAID

MWANDISHI WETU

MWENYEKITI  wa kamati ya Usajili ya Yanga, Hersi Said amesema hakuna mchezaji atakayezibiwa riziki kama atatakiwa na timu ya nje au klabu nyingine ya ndani ilimradi taratibu zifuatwe..

“Hatuwezi kuwabania wachezaji hata kidogo. Yeyote atakayepata nafasi ya kutoka tutamuachia atoke akajaribu maisha kwingine. Mpira sikuhizi ni zaidi ya ajira..

“Tulimuuza Kisinda kwa kuvuna dola 150,000 kupitia mauzo ya mchezaji mmoja tuliwanunua mastaa watatu Djuma Shabani, Fiston Mayele, na Jesus Moloko wote wanafanya vizuri.

Previous articleKOCHA STARS ATANGAZA KIKOSI CHA WACHEZAJI 28 KUJIANDAA NA MCHEZO WA KIRAFIKI
Next articleMKURUGENZI SHIRIKA LA CHAKULA LA UMOJA WA AFRIKA ( WFP) KANDA YA KUSINI MWA AFRIKA DKT. MANGHESTAB HAILE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. PINDI CHANA JIJINI DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here