Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA CHEMBA YA BIASHARA, VIWANDA NA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA CHEMBA YA BIASHARA, VIWANDA NA KILIMO YA UBELGIJI, LUXEMBOURG, AFRIKA, CARIBBEAN NA PACIFIC (CBL-ACP), BRUSSELS NCHINI UBELGIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 17 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO) Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 17 Februari, 2022.
 


Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi akisaini Hati ya makubaliano na Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP) Amaury Luyckx leo tarehe 17 Februari, 2022.

Previous articleBoT: VIJANA WA KITANZANIA WAMEFAIDIKA NA MIFUKO YA UDHAMINI WA ELIMU YA MWALIMU NYERERE NA GILMAN RUTIHINDA
Next articleRAIS DK.MWINYI AZUNGUMZA NA WAKURUGENZI WA BODI YA (ZRB) NA UONGOZI WA BODI YA MAPATO ZANZIBAR (ZRB)
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here