Home LOCAL MAJALIWA AZUNGUMZA NA WADU WA UHIFADHI WILAYANI NGORONGORO

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WADU WA UHIFADHI WILAYANI NGORONGORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro,

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa Uhifadhi, katika kikao kilichofanyika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro Mkoani Arusha.


Baadhi ya wakazi wa Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro na wadau wa uhifadhi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao, Februari 14, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)