Home LOCAL MAJALIWA AZUNGUMZA NA WADU WA UHIFADHI WILAYANI NGORONGORO

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WADU WA UHIFADHI WILAYANI NGORONGORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro,

Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa Uhifadhi, katika kikao kilichofanyika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro Mkoani Arusha.


Baadhi ya wakazi wa Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro na wadau wa uhifadhi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao, Februari 14, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleBENKI KUU TANZANIA (BoT) YAWATAKA WAANDISHI KUWA SEHEMU YA KUVUTIA UWEKEZAJI KUPITIA KALAMU ZAO
Next articleSERIKALI YAWAJENGEA UWEZO WADAU JUU YA MKATABA WA AFCFTA JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here