Home LOCAL WAZIRI SIMBACHAWENE, BALOZI WA MAREKANI DKT. WRIGHT WAJADILIANA MASUALA YA USHIRIKIANO JIJINI...

WAZIRI SIMBACHAWENE, BALOZI WA MAREKANI DKT. WRIGHT WAJADILIANA MASUALA YA USHIRIKIANO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikiliza Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam,


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Donald Wright baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Previous articleRAIS DK.MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA UNDP
Next articleWATOTO WALIOWAHI KUKINZANA NA SHERIA MKOANI ARUSHA WAMSHUKURU RAIS SAMIA WAAHIDI KUWA RAIA WEMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here