Home LOCAL RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA UNDP

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA UNDP

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania Bibi Christin Musisi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha


Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu


Previous articleDKT. MOLLEL ATINGA HOSPITALI YA TEMEKE ATETA NA WAFANYAKAZI, ATAKA BILIONI 4.9 ZA SERIKALI KUBORESHA HUDUMA ZA KIBINGWA
Next articleWAZIRI SIMBACHAWENE, BALOZI WA MAREKANI DKT. WRIGHT WAJADILIANA MASUALA YA USHIRIKIANO JIJINI DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here