Home LOCAL RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA NGUO CHA BASRA TEXTILE ZANZIBAR

RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA NGUO CHA BASRA TEXTILE ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Viwanda na Maendeleo ya Biashara Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban alipokua akitembelea Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar mara baada ya kukifungua rasmi kiwanda hicho leo tarehe 11 Januari, 2022 katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi katika Hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022 katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
.

 

 

 

Previous articleWAANDISHI WA HABARI WAFARIKI KATIKA AJALI MWANZA
Next articleTAARIFA KAMILI JUU YA AJALI ILIYOHUSISHA WAANDISHI WA HABARI MWANZA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here