Home LOCAL RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA HIVI KARIBUNI.

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA HIVI KARIBUNI.

 


Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao pamoja na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu] 05/01/2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo alipozungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao .[Picha na Ikulu] 05/01/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipozungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika  Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao na       kupata maagizo  katika utekelezaji wa kazi zao .[Picha na Ikulu] 05/01/2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here