Home LOCAL RAIS DKT. AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA...

RAIS DKT. AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar wakati wa Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi aisalimia Wananchi alipoingia katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar kuongoza Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya Heshima ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar wakati wa Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, leo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman (kulia) Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Tulia Akson wakisimama wakati wa kupokea Salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar
Previous articleMIILI YA WAANDISHI WA HABARI YAAGWA JIJINI MWANZA
Next articleMBUNGE BONAH AWATAKA WENYEVITI KIMANGA KUSHIRIKIANA NA DIWANI KULETA MAENDELEO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here