Home LOCAL RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA UNDP

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA UNDP

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania Bibi Christin Musisi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu