Home LOCAL NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL ASHIRIKI SHUGHULI YA KUAGA MIILI YA...

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL ASHIRIKI SHUGHULI YA KUAGA MIILI YA WAANDISHI JIJINI MWANZA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameshiriki katika shughuli ya Kitaifa ya Kuaga Miili ya Waandishi wa Habari 6 katika uwanja wa nyamagana. Waandishi wa habari hao waliofariki katika ajali iliyotokea tarehe 11/1/2022 katika Wilaya ya Busega, Simiyu kwenye msafara wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Robert Gabriel akielekea Wilaya ya Ukerewe.