Home Uncategorized MITINDO YA MARTIN KADINDA MPAKA MBUGANI

MITINDO YA MARTIN KADINDA MPAKA MBUGANI

NA: MWANDISHI WETU.

Mbunifu nguli wa mavazi hapa nchin Martin Kadinda, anatarajiwa kutambulisha collection mpaya ya  Escapede, katika onyesho la ubunifu wa mavazi lenye dhima ya safari mkoani Manyara katika hoteli ya Mawe mawe Januari 29.

Hii itakuwa ni onyesho lake la kwanza kwa mwaka huu kushiriki hapa nchin mara ya mwisho alitambusha collection ya Vanguard, katika tamasha la Swahaili Fashion Week 2020.

Akizungumza na ukurasa huu amesema dhumuni la Escapade collection ni kushawishi watanzania kufanya utalii wa ndani wakienda katika mavazi yanayo kwenda na wakati.

“Tanzania tuna vivutio vingi ndani ya miaka miaka miwili tumepata muamko mzuri wa kutembelea vivutio vyetu ila wengi wamekuwa wakipata shida katika upande wa mavazi ndio maana nimebuni Escapade collection, kwa ajili ya kuleta umaridadu wakati wa safari za utalii wa ndani,” anasema Martin Kadinda.

Aliongeza kuwa kabla ya onyesho hilo kesho atashiriki kuuza vifaa mbalimbali alivyo tengeneza  vinavyo tumika katika safari za utalii katika mnada utakaofanyika katika hoteli ya Mawe mawe.

Previous articleRAIS SAMIA KUFANYA ZIARA SHULE BENJAMINI MKAPA
Next articleWAZIRI GWAJIMA, AONGOZA MAZISHI KIJANA ALIYECHOMWA KISU DODOMA.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here