Home SPORTS CAMEROON YAICHAPA BURKINA FASO 2-1 AFCON

CAMEROON YAICHAPA BURKINA FASO 2-1 AFCON

Timu ya Taifa ya  Cameroon wameanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Burkina Faso katika mchezo wa Kundi A jioni ya leo Uwanja wa Paul Biya Jijini Yaounde.

Mabao yote ya Cameroon yamefungwa na mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Vincent Aboubakar kwa penalti dakika ya 40 na 45 baada ya Burkina Faso kutangulia kwa bao Gustavo Sangare  dakika ya 25

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here