Home SPORTS CAMEROON YAICHAPA BURKINA FASO 2-1 AFCON

CAMEROON YAICHAPA BURKINA FASO 2-1 AFCON

Timu ya Taifa ya  Cameroon wameanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Burkina Faso katika mchezo wa Kundi A jioni ya leo Uwanja wa Paul Biya Jijini Yaounde.

Mabao yote ya Cameroon yamefungwa na mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Vincent Aboubakar kwa penalti dakika ya 40 na 45 baada ya Burkina Faso kutangulia kwa bao Gustavo Sangare  dakika ya 25

Previous articleRAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA
Next articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO J.TATU JANUARI 10-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here