Home SPORTS AHMED ALLY MSEMAJI MPYA SIMBA SC

AHMED ALLY MSEMAJI MPYA SIMBA SC

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

UONGOZI   wa Simba umemtangaza Ahmed Ally kuwa Ofisa Habari wa timu hiyo.
Ally anakuja kuchukua mikoba ya Haji Manara ambaye alibwaga manyanga mwaka 2021 na sasa ni Ofisa Habari ndani ya kikosi cha Yanga.
Alipotoka Manara nafasi hiyo alikaimu Ezekiel Kamwaga ambaye kwa sasa yupo nje akisoma.
Ally ni mwandishi pia wa Azam TV ambapo amekuwa akiripoti habari za michezo.
Hongera Ahmed Ally katika majukumu yako mapya na kila la kheri.