Home SPORTS ABDI HAMID MOALLIN ATANGAZWA RASMI KOCHA AZAM FC

ABDI HAMID MOALLIN ATANGAZWA RASMI KOCHA AZAM FC

Na: Stella Kessy, DAR.

KLABU ya soka ya Azam imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina.

Awali Moallin aliletwa kushika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana.

“Azam FC ni klabu kubwa, na nililiona hili siku ya kwanza tu nilipofika hapa, nina amini katika klabu hii, nina amini katika uwezo wa klabu hii, klabu hii ina nafasi ya kufanya makubwa,”– Abdihamid Moallin, Kocha Mkuu Azam FC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here