Home SPORTS ABDI HAMID MOALLIN ATANGAZWA RASMI KOCHA AZAM FC

ABDI HAMID MOALLIN ATANGAZWA RASMI KOCHA AZAM FC

Na: Stella Kessy, DAR.

KLABU ya soka ya Azam imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina.

Awali Moallin aliletwa kushika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana.

“Azam FC ni klabu kubwa, na nililiona hili siku ya kwanza tu nilipofika hapa, nina amini katika klabu hii, nina amini katika uwezo wa klabu hii, klabu hii ina nafasi ya kufanya makubwa,”– Abdihamid Moallin, Kocha Mkuu Azam FC

Previous articleTAKWIMU SAHIHI ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI NCHINI KUCHANGIA MAENDELEO YA TAIFA
Next articleMOROGORO WAIMARISHA HUDUMA WODI YA KUJIFUNGUA WAZAZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here