Home LOCAL WAZIRI TABIA MAULID MWITA AWEKA WAZI MAFANIKIO YA WIZARA YAKE NDANI YA...

WAZIRI TABIA MAULID MWITA AWEKA WAZI MAFANIKIO YA WIZARA YAKE NDANI YA MWAKA MMOJA


Waziri wa Habari Vijana,Utamaduni na Michezo Mh.TABIA Maulid Mwita akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu mafanikio ya Wizara yake ndani ya mwaka mmoja ikiwa ni shamrashamra za miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Znzibar.hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Zanzibar.


Mkurugenzi Idara ya habari Maelezo Zanzibar Hassan Khatibu Hassan akiuliza suali kwa Waziri wa Habari Vijana,Utamaduni na Michezo Mh.TABIA Maulid Mwita (hayumo pichani) kuhusu taarabu katika maadhimisho ya mapinduzi mara baada ya kuwasilisha taarifa ya mafanikio ya Wizara hiyo huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Zanzibar.


Mkurugenzi Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Saleh Yussuf Mnemo akiuliza suali kwa Waziri wa Habari Vijana,Utamaduni na Michezo Mh.TABIA Maulid Mwita (hayumo pichani) kuhusu mchezo wa ngumi mara baada ya kuwasilisha taarifa ya mafanikio ya Wizara hiyo huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR.

Previous articleABOUTWALIB MSHERY RASMI YANGA
Next articleWATOTO NI WAO LAKINI KWENDA SHULE NI LAZIMA – WAZIRI MKUU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here