Home SPORTS ABOUTWALIB MSHERY RASMI YANGA

ABOUTWALIB MSHERY RASMI YANGA

Na: Stella Kessy, DAR
ABOUTWALIB Mshery ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni usajili wa dirisha dogo.

Anaibuka ndani ya Yanga akitokea Klabu ya Mtibwa Sugar.

Anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa ndani ya Yanga baada ya kuanza na Sure Boy aliyesajiliwa bure akitokea Azam FC.

Ni miaka miwili amesaini Mshery kuitumikia Yanga.
Previous articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI LEO J.TANO DISEMBA 29-2021
Next articleWAZIRI TABIA MAULID MWITA AWEKA WAZI MAFANIKIO YA WIZARA YAKE NDANI YA MWAKA MMOJA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here