Home SPORTS TEMBO WARRIORS WAIBAMIZA CAMEROON 5-0

TEMBO WARRIORS WAIBAMIZA CAMEROON 5-0

Na: stella kessy, DAR ES SALAAM.

TIMU  ya Tanzania ya (Tembo Warriors) leo imetinga hatua ya nusu fainali  mashindano ya Soka ya Afrika  kwa wenye ulemavu baada ya kuichabanga timu ya Cameroon mabao 5-0.

Katika kipindi cha kwanza Tanzania ilikuwa inaongoza kwa bao 3-0 katika mchezo huo huku ikiwa imetawala dakika zote za mchezo.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ndiye aliyewaongoza watanzania kuishangilia timu ya Tembo Warriors kufanya vizuri katika. Mechi hii.

Magoli mawili yamefungwa na  Khalfan Kyanga  na goli la tatu Ramadhani Chepulo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here