Home SPORTS SIMBA YAPANGWA KUNDI MOJA NA TIMU YA CHAMA, TUISILA SHIRIKISHO

SIMBA YAPANGWA KUNDI MOJA NA TIMU YA CHAMA, TUISILA SHIRIKISHO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na: stella kessy, DAR ES SALAAM.

MABINGWA wa ligi kuu Tanzania Simba wamepangwa katika kundi D  katika droo ya makundi imepangwa nchini Misri.

Katika  kundi D ambalo litawafanya wakutane na Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco, ASEC Mimosas, USGN ambazo zipo kundi moja katika Kombe la Shirikisho.

Pia katika kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho.

Katika kundi B ni JSK/R. Leopards, Orlando Pirates, JS Saoura na Al Ittihad.

GROUP A 

Pyramids FC 🇪🇬 

CS Sfaxian 🇹🇳

Zanaco FC 🇿🇲 

At the Ahli Tripoli 🇱🇾


GROUP B 

JS Kabylie/Royal Leopards 

Orlando Pirates 🇿🇦 

JS Saoura 🇩🇿

Al Ittihad SC 🇱🇾 


GROUP C 

TP Mazembe 🇨🇩

Cotonsport FC 🇨🇲 

Al Masry SC 🇪🇬 

AS Otoho d’Oyo 🇨🇬


GROUP D 

RS Berkane 🇲🇦

Simba SC 🇹🇿 

ASEC Mimosas 🇨🇮

US Gendarmerie 🇳🇪