RAIS mstaafu wa Awamu ya nne, Dk. Jakaya MRISHO Kikwete amewasili Jijini Tanga kumfariji bondia Hassan Mwakinyo kwa kufiwa na mama yake mzazi, Fatuma Hassan Siri.
Hapa ni wakati Hassan Mwakinyo anamuuguza mama yake. Mungu ampumzishe kwa amani mama wa bondia huyo.