Home LOCAL MZEE KIKWETE AMFARIJI MWAKINYO KUFIWA MAMA

MZEE KIKWETE AMFARIJI MWAKINYO KUFIWA MAMA

RAIS mstaafu wa Awamu ya nne, Dk. Jakaya MRISHO Kikwete amewasili Jijini Tanga kumfariji bondia Hassan Mwakinyo kwa kufiwa na mama yake mzazi, Fatuma Hassan Siri.

Hapa ni wakati Hassan Mwakinyo anamuuguza mama yake. Mungu ampumzishe kwa amani mama wa bondia huyo.

Previous article“WAJAWAZITO NA WAZAZI WENYE VIASHIRIA VYA KUNDI LA DHARURA FUATENI USHAURI WA WATAALAM”- WAZIRI WA AFYA
Next articleRAIS SAMIA AFANYA UTEUZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here