Home LOCAL MAJALIWA AHANI MSIBA NYUMBANI KWA KIKWETE

MAJALIWA AHANI MSIBA NYUMBANI KWA KIKWETE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuati kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake Mama Salma Kikwete, Desemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa Desemba 24, 2021 Pongwe Tanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha  Mwanakombo Bakari Ngayama,  dada yake, Mama Salma Kikwete (kushoto), Desemba  23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa Desemba 24, 2021 Pongwe Tanga. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.


Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akimpa pole Mke wa Rais wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete (kushoto) ambaye amefiwa na dada yake, Mwanakombo Bakari Ngayama, nyumbani kwa Rais Mstaafu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleDESTURI NZURI NA ZENYE MADHARA KWA MAENDELEO YA JAMII SHINYANGA
Next articleCAMBIASO SPORTS ACADEMY YAMPELEKA KIJANA WAO OMARY MVUNGI KUJIFUNZA SOKA UK
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here