Home BUSINESS FURSA ZA UWEKEZAJI TANZANIA ZAENDELEA KUNADIWA KWENYE MAONESHO YA EXPO DUBAI 2021

FURSA ZA UWEKEZAJI TANZANIA ZAENDELEA KUNADIWA KWENYE MAONESHO YA EXPO DUBAI 2021

28 Desemba,2021: Fursa za uwekezaji Tanzania zimendelea kunadiwa kwenye Maonesho ya Kimataifa yanayoendelea Jijini Dubai maarufu kama EXPO DUBAI 2020.

Pichani ni baadhi ya viongozi,wafanyabiashara waliotembelea Banda la Tanzania na kupatiwa taarifa juu ya fursa za uwekezaji zilizopo; sababu za kuwekeza Tanzania , na namna ambavyo wawekezaji wanahudumiwa kuanzisha uwekezaji wao nchini ndani ya muda mfupi na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa Huduma za Mahala Pamoja (One Stop Facilitation Centre) kwenye Ofisi za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

Previous articleSIMBA SC YAACHANA NA HITIMANA
Next articleWAZIRI BITEKO AWAAGIZA VIONGOZI WILAYA YA BUNDA KUFUNGUA SOKO LA MADINI WILAYANI HUMO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here