Home LOCAL WAZIRI MKUU ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI AGA KHAN

WAZIRI MKUU ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI AGA KHAN

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mke wa Waziri Mstaafu wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, Bora Isack (kulia), ambaye amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Novemba 18, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza familia ya aliyekua Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na aliyekua Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye awamu ya kwanza na pili, Mzee Al noor Kassum, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here