Home LOCAL WAZIRI MKUU ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI AGA KHAN

WAZIRI MKUU ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI AGA KHAN

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mke wa Waziri Mstaafu wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, Bora Isack (kulia), ambaye amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Novemba 18, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza familia ya aliyekua Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na aliyekua Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye awamu ya kwanza na pili, Mzee Al noor Kassum, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam.


Previous articleUCHIMBAJI SALAMA WA MADINI UWE AJENDA KATIKA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI-WAZIRI BITEKO
Next articleMBUNIFU IRFAN ATEMA CHECHE ZA USHINDI MASHINDANO YA MITINDO KIMATAIFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here