Home LOCAL RAISA DK.MWINYI AZINDUA KAMPENI YA “SheforHe”E

RAISA DK.MWINYI AZINDUA KAMPENI YA “SheforHe”E


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi.Hodan Addou, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marian Mwinyi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto) Mwakilishi Mkaazi wa UN Nchini Tanzania.Bw.Zlatan Millisic.(Picha na Ikulu).


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimia na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw. Zlatan Millisic na Mwakilishi wa Shirika la UN linaloshughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou, walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Millisic, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”.
 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar

BAADHI ya Mawairi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” iliozinduliwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar

Previous articleMAJALIWA AZUNGUMZA NA WATALAAM WA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI NCHINI
Next articlePROF. MKUMBO ASHIRIKI KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MAUZO YA NDANI SHANGHAI CHINA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here