Home LOCAL MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATALAAM WA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA...

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATALAAM WA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI NCHINI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa nne kulia), Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba (wa nne kushoto) na Watalaam wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi Nchini, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 4, 2021. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Kaspar Mmuya na wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Adam Katundu.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watalaam wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi Nchini, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 4, 2021. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Kaspar Mmuya na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Adam Katundu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Previous articleWAZIRI WA NISHATI AFANYA MAZUNGUMZO NA TOTALENERGIES
Next articleRAISA DK.MWINYI AZINDUA KAMPENI YA “SheforHe”E
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here