Home SPORTS KOCHA MPYA SIMBA ATUA RASMI KAMBINI

KOCHA MPYA SIMBA ATUA RASMI KAMBINI

Hapa anazungumza na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara GonzalezKOCHA mpya wa Simba SC, Mspaniola Pablo Franco Martin akizungumza na kiungo Ibrahim Ajibu alipowatembelea wachezaji Gym kambini kwao, Mbweni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.

Hapa anazungumza na Kocha Msaidizi, Suleiman Matola. Katikati ni aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu, Mnyarwanda, Thierry Hitimana.
 
Pablo amewasili leo asubuhi na kupokewa na Mratibu wa timu, Abbas Suleiman tayari kuanza kuutumikia mkataba wake wa miaka miwili akirithi mikoba ya Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa aliyefukuzwa mwezi uliopita.
 

Previous articleHOSPITALI YA WILAYA TUNDURU NA MDH WATUMIA MOBILE CLINIC KUIBUA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU
Next articleBENKI YA ABSA YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here