Home SPORTS TUPO TAYARI KUIKABILI YANGA KESHO: MANYASI

TUPO TAYARI KUIKABILI YANGA KESHO: MANYASI

 Na: Stella kessy.

NAHODHA wa Geita Gold, Jofrey Manyasi amebainisha kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga.

Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro  mchezo wao wa kwanza ilipoteza pointi tatu baada ya kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC ilikuwa Uwanja wa Ilulu.

Kesho inakibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Yanga ambayo imetoka kushinda bao 1-0 mbele ya Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba. 

Manyasi amesema:”Tupo tayari kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Yanga na tunaamini kwamba tutapata ushindi na tumejiandaa. 

“Wachezaji tunajua kwamba tumetoka kupoteza pointi mbele ya Namungo hivyo tuna kazi ya kufanya mashabiki wajitokeze kwa wingi,”.

Previous articleSIMBA KUTUPA KARATA NYINGINE KWA DODOMA JIJI LEO
Next articleYANGA YAAHIDI POINTI TATU MCHEZO WA KESHO DHIDI YA GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here